Mwanamke mmoja anadaiwa kupigwa risasi na mwanajeshi

  • | Citizen TV
    2,702 views

    Familia ya mwanamke aliyefariki baada ya kupigwa risasi na jamaa anayedaiwa kuwa mwanajeshi katika kambi ya mtongwe huko Likoni, kaunti ya Mombasa, inadai haki. Mary Triza Obur alifariki alipokea matibabu ya majeraha ya risasi katika hospitali ya makadara. Familia hiyo inahofia shere ikisema imearifiwa kuwa ripoti ya upasuaji wa maiti itatolewa baada ya wiki tatu