Mwanamke mmoja aponea kifo alipovamiwa na majangili Samburu

  • | Citizen TV
    962 views

    Katika uvamizi wa hivi punde wa wizi wa Mifugo mwanamke mmoja ameponea kifo kwenye tundu la sindano alipovamiwa na majangili alipokuwa akiwachunga Mifugo wake katika eneo la Longewan Samburu magharibi. Inaaminika wavamizi hao walimfumania na kumpa kichapo kabla kumuamrisha kuwapa Mifugo wake .