Mwanamke mmoja busia ajitaja kuwa mamake yesu kristo

  • | Citizen TV
    587 views

    Judith Nafula anadai kupokea ujumbe wa roho mtakatifu Judith alifukuzwa kutoka kwenye kanisa katoliki Alikuwa akidai ana uwezo wa kutabiri na kuponya