Mwanamke mwenye umri wa miaka 60 auwawa Kirinyaga na mwili wake kutupwa katika shamba la kahawa

  • | TV 47
    31 views

    Mwanamke mmoja mwenye umri wa miaka 60 ameuwawa katika eneo la ndia Kaunti ya Kirinyaga na mwili wake kutupwa katika shamba la Kahawa takriban mita miatano kutoka nyumbani kwake.

    Akithibitisha kisa hicho Kamanda wa Polisi katika eneo hilo Moses Koskei amesema kuwa uchunguzi kuhusiana na kisa hicho tayari umeanzishwa polisi wakidadadisi kuwa kisa hicho kilikuwa ni kitendo cha mauaji wala sio wizi kwani mwili wa mwendazake ulipatikana na pesa pamoja na bidhaa alizokuwa amenunua.

    #TV47Matukio

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __