Mwanamke tabibu anayewapa tiba wagonjwa wa covid-19

  • | BBC Swahili
    Reena Shah ni mtaalamu wa maradhi yakuambukizana katika hospitali mojanchini Kenya. Shah anasema tija yake ni wakati mgonjwa anapopata nafuu na kuungana tena na familia. #bbcmaisha #bbcswahili #Afya