Mwanamme azuiliwa kwa kumnajisi mtoto wa mwaka mmoja, Kericho

  • | NTV Video
    184 views

    Polisi wanamzuilia mwanaume wa miaka 46 katika kituo cha polisi cha Litein, kaunti ya Kericho baada ya kumnajisi mtoto wa umri wa mwaka mmoja kutoka kijiji cha Chesingoro, eneo bunge la Bureti.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya