- 4,668 viewsDuration: 2:28Mwanamume mmoja anauguza majeraha baada ya kuchomwa na maji moto na mwanamke anayesemekana kuwa mpenzi wake. Inadaiwa steve godia alivamiwa na mshukiwa usiku wa kuamkia tarehe 14 februari akiwa nyumbani kwake huko umoja 1, Nairobi.