Mwanamume adungwa kisu kwa tuhuma za siasa za kaunti ya Bungoma mazishini

  • | West TV
    Baadhi ya viongozi katika kaunti ya Bungoma wamejitokeza na kukashifu tukio kimoja katika hafla ya maziko ya mfanyibiashara maarufu katika mji wa Bungoma ambapo mwanamume mmoja alijeruhiwa kwa kudungwa kisu kutokana na siasa za kaunti ya Bungoma