Mwanamume afariki baada ya kuangukiwa na ukutu wa boma uliokuwa ukibomolewa

  • | West TV
    154 views
    Mwanamume mwenye umri wa miaka thelathini na minane amefariki papo hapo baada ya kuangukiwa na ukuta wa nyumba eneo la miendo wadi ya bukembe east eneo bunge la kanduyi