Skip to main content
Skip to main content

Mwanamume aliwa na mamba Homa Bay

  • | KBC Video
    608 views
    Duration: 3:52
    Ongezeko la migogoro kati ya binadamu na wanyama pori katika maeneo tofauti ya nchi limesababisha hofu na maafa, huku miito ikitolewa ya hatua za dharura kukomesha uharibifu huo. Katika soko la Limuru kaunti ya Kiambu, wafanyabiashara wa kondoo wanakadiria hasara kubwa baada ya mnyama ambaye hakutambuliwa kuvamia zizi usiku, na kuwajeruhi mbuzi kadhaa. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive