Mwanamume ambaka bintiye, kumuua na kuutupa mwili wake

  • | KBC Video
    36 views

    Maafisa wa Polisi katika eneo Bunge la Navakholo Kaunti ya Kakamega wanamzuilia mwanamume mmoja mwenye umri wa miaka 31 ambaye anadaiwa kuwa na virusi vya ukimwi, kwa tuhuma za kumbaka msichana wa miaka tisa kabla ya kumuua na kuutupa mwili wake.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive