Mwanamume amehadaiwa shilingi milioni 2.7 za shamba eneo la Ruiru, Kiambu

  • | Citizen TV
    4,486 views

    Wakenya wametahadharishwa kuwa makini zaidi wanaponunua ardhi huku polisi wakimsaka mwanamume mmoja aliyehusisha na ulaghai wa ardhi eneo la Ruiru kaunti ya Kiambu. Hii ni baada ya mtu mmoja kupoteza shilingi milioni 2.7 kwenye ulaghai wa kununua kipande cha ardhi. Kwa sasa, mtu huyu amelazimika kulipa mkopo wa benki bila ya ardhi