Mwanamume amnajisi mtoto wa miaka 9 eneo bunge la Navakholo.

  • | West TV
    34 views
    Maafisa wa polisi eneo bunge la Navakholo kaunti ya Kakamega wanamzuilia mwanamume mmoja mwenye umri wa miaka thelathini na mmoja kwa tuhuma za kumnajisi mwanawe mwenye umri wa miaka tisa na kisha kumuua na kuutupa mwili wake kwenye lango kuu la kuingia boma la babake.