Mwanamume amuua mkewe na kisha kujitoa uhai kaunti ya Makueni

  • | KBC Video
    26 views

    Mwanamume mmoja amemuua mkewe kwa kumkata kwa panga na kisha kujitoa uhai katika eneo la Ivinga Nzia kaunti ya Makueni . Akithibitisha tukio hilo ,naibu wa chifu wa sehemu hiyo Alex Muendo alisema marehemu alikuwa na majeraha ya upanga.Katika eneo la Githunguri mwanamume mmoja pia ajitoa uhai baada ya nyumba yake kuvunjwa na mali yake kuibwa.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #murder #homicide

    homicide murder