Mwanamume auawa kwa kupigwa risasi baada ya kukata OCS vidole kwa Jembe

  • | West TV
    336 views
    Mwanamume mwenye umri wa miaka ishirini na miwili mkazi wa kijiji cha chekata wadi ya bunyala mashariki eneo bunge la navakholo amepigwa risasi na kuuawa na maafisa wa polisi waliokuwa wamefika nyumbani kwao kumkamata baada ya lalama kutoka kwa mamake