Mwanamume auawa na mwili wake kutupwa kwenye mtaro

  • | KBC Video
    28 views

    Polisi wanawasaka washukiwa wanaoaminika kutekeleza mauaji ya kikatili huko Lari,katika kaunti ya Kiambu. Mwathiriwa wa hivi punde ni mwanamume wa umri wa makamo aliyeuawa na mwili wake kutupwa kwenye mtaro kwenye barabara ya kutoka Nairobi kuelekea Nakuru

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #insecurity #Larikiambu