Skip to main content
Skip to main content

Mwanamume Kuresoi amuua kinyama mkewe na kisha kujiua kufuatia ugomvi

  • | KBC Video
    252 views
    Duration: 1:47
    Maafisa wa usalama katika wadi ya Sirikwa eneo bunge la Kuresoi wanachunguza kisa ambapo mwanaume mwenye umri wa miaka-60 anadaiwa kumuua kwa kumkata kichwa mkewe aliye na umri wa miaka-51 kufuatia mzozo wa nyumbani na kisha kujitoa uhai. Miili ya wanandoa hao ilipatikana nyumbani kwao na wakazi ambao walishangazwa na tukio hilo. Kisa hicho kinajiri wiki moja baada ya mtu mwengine kuuawa katika eneo hilo kufuatia mgogoro wa nyumbani. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive