Mwanamume mmoja huko Kiambu amdunga kisu mkewe sehemu nyeti

  • | KBC Video
    Mwanamke wa miaka 24 kutoka Kijiji cha Kiang’ombe kaunti ya Kiambu anauguza majeraha mabaya baada ya kushambuliwa kwa kisu kwenye sehemu nyeti na mumewe. Kulingana na mwanamke huyo mama wa watoto 2 ambaye sasa anataka haki itendeke kutokana na unyama aliofanyiwa, mwanaume huyo alimshambulia baada ya ugomvi kuhusu alikotoa pesa za kununulia watoto chakula. Polisi wanamsaka mwanaume huyo. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #KBCchannel1 #KBCNewsHour #KBClive