Mwanamume mmoja katika kijiji cha Kigoro auawa na mtu aliyejihami kwa shoka

 • | KBC Video
  56 views

  Mwanamume mmoja wa umri wa miaka 60 katika kijiji cha Kigoro katika eneo la Maragua Ridge , kaunti ya Murang’a ameuawa na mtu aliyejihami kwa shoka kwenye njama ya kuiba shilingi alfu-12 . Jane Waruguru, ambaye ni mkewe marehemu, Peter Kamau, pia anauguza majeraha ya kichwa pamoja na watu wengine wawili wa familia hiyo walioshambuliwa na mvamizi huyo. Kwingineko, mama mwenye umri wa miaka 67 amelazwa katika hospitali ya rufaa ya kaunti ya Baringo baada ya mwanawe wa kiume kumwagia maji moto kufwatia tofauti kati yao kuhusu tohara ya mjukuu wake .

  Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

  #kbcchannel1 #news #murdermystery

  murder