Mwanamume wa miaka-75 aliyefungwa kimakosa aachiliwa huru

  • | KBC Video
    118 views

    Kulikuwa na mbwembwe za aina yake jana jioni katika kijiji cha Kiaga, eneo bunge la Kirinyaga ya Kati, baada ya mwanaume mwenye umri wa miaka-75, Peter Kimani Mbote, kurejea nyumbani kufuatia kuachiliwa kwake huru kutoka gerezani. Kimani, ambaye alikuwa akihudumu kifungo cha miaka-15 katika gereza la Ruiru, ni miongoni mwa wafungwa 57 walioachiliwa huru baada ya rais William Ruto kutekeleza agizo lake la kikatiba la kutoa msamaha.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive