Mwanamuziki wa "Reggae" Everton Blender azuru Kenya

  • | KBC Video
    24 views

    Msanii wa Reggae Everton Blender ametoa wito kwa wasanii wa humu nchini kueneza jumbe za amani na kuelimisha umma kupitia miziki yao. Akizungumza baada ya kuwasili humu nchini hapo jana, msanii huyo amesema mziki wa kuvutia unafaa kuzingatia adabu kutokana na asili yake ya kisanii. Msanii huyo atazuru maeneo mbalimbali humu nchini kama sehemu ya shamrashamra za mwaka huu za kuadhimisha miaka 60 ya sherehe za Jamhuri dei.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive