Mwanariadha Kelvin Kiptum azikwa

  • | KBC Video
    183 views

    Mshikilizi wa rekodi ya dunia ya mbio za marathon Kelvin Kiptum amezikwa katika shamba lake la Cherunya, kaunti ya Uasin Gishu. Wakati wa mazishi hayo yaliohudhuriwa na waombolezaji wa matabaka yote , wito ulitolewa kwa serikali kuangazia maslahi ya wanariadha, ikiwa ni pamoja na kutoa ulinzi kwa mabingwa wa dunia, maelezo zaidi ni katika taarifa yake Wycliffe Oketch.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive