Mwanariadha Kipkemboi anauguza majeraha mabaya baada ya kuumizwa sehemu nyeti

  • | NTV Video
    1,216 views

    Mwanariadha Joseph Kipkemboi anauguza majeraha mabaya ya sehemu nyeti, baada ya kuumizwa vibaya na mwenzake Jonathan Kipkosgei Kogo kwenye kambi ya mazoezi ya Golazo mjini Kapsabet kaunti ya Nandi.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya