Mwanariadha wa Uganda,Rebecca Cheptegei aendelea kupambania maisha yake hospitali ya rufaa ya Moi

  • | NTV Video
    340 views

    Mwanariadha wa Uganda , Rebecca Cheptegei anaendelea kupambania maisha yake katika hospitali ya rufaa ya moi jijini Eldoret baada ya kujeruhiwa kwa moto hapo jana na anayedhaniwa kuwa mumewe kufuatia mzozo wa kinyumbani.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya