Mwanasarakasi anayejikunja kwa muonekano wa kushangaza

  • | BBC Swahili
    Aleksei Goloborodko amekua akiukunja mwili wake katika muonekano wa kushangaza tangu alipokua na umri wa miaka mine.Anasema unachohitaji kukifanya ili kufanikiwa katika sarakasi za kupindisha mwili #contortionist #AlekseiGoloborodko