Mwanasheria mkuu Justin Muturi ameonya mradi wa nyumba nafuu una msukosuko

  • | Citizen TV
    4,896 views

    Mwanasheria mkuu Justin Muturi ameonya kuwa utekelezwaji wa mradi wa nyumba za bei nafuu huenda ukakumbwa na misukosuko. Muturi akisema mradi huo unatekelezwa na serikali kuu na zile za kaunti na kwamba hakuna sheria inayoongoza jinsi utakavyoendelea.