Mwanasheria mkuu Justine muturi asema hana maafisa wa kutosha

  • | Citizen TV
    442 views

    Mwanasheria mkuu Justine muturi ameelezea kutoridhishwa kutokana na uhaba wa maafisa wa sheria katika afisi zake nchini, hali inayotishia kulemaza huduma za umma.