Mwanasheria mkuu kuwasilisha rufaa kuhusu BBI hapo kesho

  • | Citizen TV
    Mwanasheria mkuu kuwasilisha rufaa kuhusu BBI hapo kesho Kinara wa ODM Raila Odinga pia kukata rufaa kuhusu BBI Mwanasheria mkuu anataka uamuzi wa mahakama kuu kuwekwa kando Raila anasema majaji walijitwika majukumu yasiyo yao kuhusu vipengee Raila: Muhula wa kamati tekelezi ya BBI ulikamilika tarehe 30, Juni 2020 Raila: Majaji walipuuza ushahidi kuhusu saini za zaidi ya watu milioni 4