Mwanasiasa Maina Njenga afikishwa mahakamani ya Makadara jijini Nairobi

  • | Citizen TV
    923 views

    Aliyekuwa kiongozi wa Mungiki Maina Njenga kwa sasa anafikishwa mbele ya mahakama ya Makadara hapa Nairobi. Njenga anafikishwa mahakamani, siku moja baada ya familia yake kutaka majibu kutoka kwa maafisa wa usalama baada ya kukamatwa kwake Jumatano iliyopita.