4 Sep 2025 1:22 pm | Citizen TV 618 views Duration: 1:08 Mwanamume mmoja adaiwa kumuua mkewe kwa kumdunga kisu kufuatia mzozo wa kinyumbani majira ya saa mbili usiku maeneo ya Njiru, Budalangi kaunti ya Nairobi.