Mwanaume aliyepatikana na kosa la ubakaji na uwizi wa kimabavu afungwa kifungo cha maisha

  • | Citizen TV
    188 views

    Mwanaume mmoja amefungwa kifungo cha maisha na korti ya Kericho baada ya kupatikana na kosa la ubakaji na uwizi wa kimabavu.