Mwanaume anayetumia mamilioni ya fedha kubadili umri wake

  • | BBC Swahili
    850 views
    Mfanyabiashara tajiri wa teknolojia Bryan Johnson anatumia kiasi kikubwa cha fedha kila mwaka ili kujaribu kupunguza umri wake wa kibaolojia - umri wa muonekano wake kuwa tofauti na umri wake halisi. Mwanaume huyo mwenye umri wa miaka 45 amejiwekea utaratibu wa mazoezi ya mateso,kufanya matibabu mengi… #bbcswahili #teknolojia #uzee