Mwanaume anyakua bastola ya polisi na kufyatua risasi kiholela

  • | Citizen TV
    Mwanaume anyakua bastola ya polisi na kufyatua risasi kiholela Watu wawili wauwawa na wengine watatu kujeruhiwa mjini Kisumu Nia ya muuaji Glen Ocheing' mweye umri wa miaka 21 haijulikani Mshukiwa auwawa na umati wa watu kwenye stendi ya mabasi Kisumu Afisa wa polisi aliyepokonywa bastola alijeruhiwa vibaya