Mwanaume asiyeona amlea mwanaye bila usaidizi

  • | KBC Video
    24 views

    Baba mmoja asiyekuwa na uwezo wa kuona mwenye umri wa miaka 38 amezua gumzo katika kijiji tulivu cha North Kabuoch, eneo bunge la Ndhiwa. Peter Opiyo Agola amepata umaarufu kwa kuvunja mila na mtazamo wa jamii kwa kumlea mwanaye bila usaidizi licha ya changamoto anazokumbana nazo. Haya ni maelezo ya jinsi baba huyu asiye na uwezo wa kuona anavyodhihirisha kuwa ulemavu sio kilema.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive