Mwanaume auwawa kwa kukatwa panga kijijini Bobo

  • | Citizen TV
    166 views

    Mwanamume mmoja mwenye umri wa miaka 67 ameuwawa kwa kukatwa mapanga na watu wasiojulikana katika kijiji cha Bobo hindi kaunti ya Lamu.