Mwanaume mmoja ashtakiwa kwa kumshambulia afisa wa polisi akiwa kazini

  • | KBC Video
    67 views

    Mwanaume mmoja ameshtakiwa kwa kumshambulia afisa wa polisi akiwa kazini katika barabara ya muindi mbingu jijini Nairobi. Mfanyabiashara huyo alifikishwa katika mahakama ya milimani, ambapo alishtakiwa kwa kumshambulia kimaksudi na kinyume cha sheria konstebo Alphayo Baraza.Kwa habari hizo na nyingine ni katika mizani ya haki.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channell: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #darubini