Mwanaume wa miaka 35 apatikana amefiriki nyumbani kwake Nyamira

  • | Citizen TV
    227 views

    Familia moja kutoka kijiji cha Menyinkwa II wodi ya Kiabonyoru katika eneo bunge la Borabu kaunti ya Nyamira imempaja jamaa yao akiwa amefariki nyumbani kwake kwa njia isiyoeleweka.