Mwanaume wa umri wa makamo sehemu ya Mukumu afariki kwa hali ya kutatanisha

  • | KBC Video
    53 views

    Mwanaume mmoja wa umri wa makamo katika sehemu ya Mukumu kaunti ya Kakamega amefariki katika mazingira tata .Mwili wa marehemu aliyekuwa mchuuzi, ulipatikana kwenye nyumba yake, huku majirani wakidai kuwa alifariki baada ya kubugia pombe akiwa na njaa. Wamelaumu familia yake kwa kumtelekeza licha ya kuugua.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channell: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #deathmystery #dirayamagwiji

    death