Mwanawe Inspekta Jenerali kufunguliwa mashtaka wiki ijayo

  • | Citizen TV
    Mwanawe Inspekta Jenerali kufunguliwa mashtaka wiki ijayo David Mwendwa atashtakiwa kwa kuuwa kwa kuendesha gari vibaya Mwendwa aliwagonga waendeshaji pikipiki wawili wakafariki Ajali hiyo ilitokea katika barabara ya kusini mwa jiji la Nairobi