Mwandamanaji mlevavu wa Nakuru James Mbugua azungumza

  • | Citizen TV
    4,593 views

    Mwandamanaji James Mbugua anayeishi na ulemavu ni miongoni mwa wale waliokuwa kwenye mstari wa mbele kwenye maandamano. Licha ya kuishi na ulemavu amekuwa miongoni mwa wale walioshuhudia ukatili wa polisi katika kaunti ya Nakuru.