Mwandiko wako dalili ya afya yako

  • | BBC Swahili
    Wataalamu wanaotathmini mwandiko au wanagrapholojia wanasema mara nyingi, mwandiko wa mtu unaweza kutoa dalili za hali ya kiafya. Pia mwandiko umetumika kuchunguza waraibu wa vileo na mihadarati. #bbcswahili #afya #bbcmaisha