Mwandishi achunguza vitendo vya kundi la mamluki la Wagner barani Afrika

  • | VOA Swahili
    209 views
    - - - - - Kwa miaka mingi, mwandishi wa habari wa Nigeria Philip Obaji Jr. amekuwa akichunguza vitendo vya kundi la mamluki la Russia la Wagner barani Afrika. Ni uchunguzi uliojawa na changamoto za aina yake.