- 327 viewsMtoto wake, Hamza Al-Dahdouh, aliuawa katika shambulizi la anga lililofanywa na Israeli akiwa kwenye gari karibu na Rafah pamoja na Mustafa Thuraya, kulingana na maafisa wa afya na umoja wa waandishi wa habari huko Gaza. Wapalestina wote wawili walikuwa waandishi wa habari wa kujitegemea. Wa tatu alikuwa mwandishi wa kujitegemea ambaye alijeruhiwa. Al- Dahdouh alikuwa akifanya kazi na Al Jazeera, ambako baba yake ni mwandishi kiongozi huko Gaza. Wael Al-Dahdouh alikuja kuwa mashuhuri kwa watazamaji kote Mashariki ya Kati baada ya kufahamu wakati wa matangazo mubashara kuwa mke wake, mtoto wake mwengine wa kiume, binti yake na mjukuu wake wa kiume walikuwa wameuawa katika shambulizi la anga lililofanywa na Israeli. Majeshi ya Ulinzi ya Israel hayakutoa majibu mara moja walipotakiwa kutoa maelezo. Imekuwa ikipiga mabomu katika eneo la Palestina tangu uvamizi wa Hamas wa mashambulizi ya kuvuka mpaka ya Oktoba 7 ambapo maafisa wa Israeli wanasema watu 1,200 waliuwawa. Siku ya Jumapili (Januari 7), wizara ya afya ya Gaza ilisema shambulizi la Israel limeuwa Wapalestina 22,835 hadi sasa. Mzozo huu umekuwa ni maangamizi kwa waandishi. Kamati ya Kuwalinda Waandishi wa Habari, chombo cha kimataifa kinachofuatilia waandishi, kilisema Jumamosi, waandishi 77 na wafanyakazi wa vyombo vya habari waliuwawa, kati yao Wapalestina 70, Waisraeli wanne na Walebanon watatu. -Reuters #Haifa #waelaldahdouh #hamzaaldahdouh #Rafah #Netanyahu #Misri #Hamas #Gaza #Palestina #IDF #GalMeirEizenkot #GadiEizenkot #wazirimkuu #jerusalem #alaqsa #msikiti #ibada #ijumaa #gaza #mauaji #jeshi #israel #voa #voaswahili #mwandishi #aljazeera
Mwandishi wa Al Jazeera Wael Al-Dahdouh akisalia jeneza la mwanafamilia mwengine
- 14 Aug 2025 - At least 22 migrants died after two boats overturned in the Mediterranean on Wednesday, with more still missing and some 60 survivors, humanitarian agencies said.
- 14 Aug 2025 - The summit between US President Donald Trump and his Russian counterpart Vladimir Putin will be held at Joint Base Elmendorf-Richardson in Alaska, a White House official said Wednesday.
- 14 Aug 2025 - Only Ukrainian President Volodymyr Zelensky can negotiate a land deal with Russia in an effort to end Moscow's war against his country, French President Emmanuel Macron said on Wednesday.
- 14 Aug 2025 - South Africa's unemployment rate rose for the second quarter in a row, official data showed on Tuesday, highlighting one of the biggest challenges faced by the country's year-old coalition government.
- 14 Aug 2025 - Workers at the Kenya Pipeline Company (KPC) are demanding job security assurances as the government moves to sell a majority stake in the State corporation.
- 14 Aug 2025 - "Parliament must be called out. Something is going on in our Legislature that we must address. Money is being demanded from the Executive, governors, and ministers—especially those who appear before parliamentary committees for accountability,” said…
- 14 Aug 2025 - The Kenya National Commission on Human Rights (KNCHR) wants victims of protests and demonstrations to receive more than just monetary compensation.
- 14 Aug 2025 - Housing to remain key at World Urban Forum
- 14 Aug 2025 - Bulk buyers: What the property market misses in turnaround plan
- 14 Aug 2025 - KCB shareholders set for record Sh13b dividend boom on half-year profit jump