Mwandishi wa Gaza aelezea maisha ya huko

  • | BBC Swahili
    5,566 views
    Vikosi vya Israeli vimeizingira Gaza huku ndege za kijeshi zikishambulia maeneo mengi ya mji huo huku huduma za msingi kama maji na umeme zikiwa zimekatwa. Je, maisha yapo vipi kwa raia wa Palestina waliokwama ndani ya mji huo? #bbcswahili #Gaza #Israel Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw