Skip to main content
Skip to main content

Mwandishi wa gazeti la the People alitekwa nyara Homa bay

  • | Citizen TV
    202 views
    Duration: 2:23
    Mwandishi wa habari wa gazeti la the people daily katika kaunti ya Homa bay Habil Onyango anaguza majeraha baada ya kutekwa nyara na kupigwa na watu ambao anasema anawafahamu.