- 102 viewsMwandishi wa vitabu wa Ufaransa Annie Ernaux Jumatano ameshinda Tuzo ya Nobel katika fasihi kutokana na mchango wa vitabu vyake vilivyoangazia maisha yake na kutokuwepo na usawa. Jopo la Nobel la Sweden limesema Ernaux ambaye anaumri wa miaka 82, ameangazia masuala ambayo yamegawanyishwa na jinsia, lugha na hadhi katika jamii. Endelea kupata maelezo juu ya mwandishi huyu... - - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.
Mwandishi wa vitabu wa Ufaransa ashinda Tuzo ya Nobel katika fasihi
- - LIVE: Upeo Wa TV47 ››
- - LIVE: TV47 News Now ››
- - Duniani Leo ››
- 29 Mar 2024 - Happiness levels in Kenya have dropped for the first time in five years.
- 29 Mar 2024 - There are plans to foster collaboration among State agencies, local authorities and community leaders.
- 29 Mar 2024 - Their mother, Lusila Wairu Waweru, died in October, 2015.
- 29 Mar 2024 - Failure to conform to the directive risks a Ksh10 million fine, a ten-year jail term or both.
- 29 Mar 2024 - Sometimes he is forced to wait for hours to meet the senior parliamentary official he visits.
- 29 Mar 2024 - Mudavadi puts civil servants on notice over wastage of resources
- 29 Mar 2024 - City traders get reprieve in tariff row but...
- 29 Mar 2024 - EACC survey found the high cost of living is perceived as the biggest challenge facing the economy today. World Happiness Report 2024 edition ranked Kenya at position 114 out of 143.
- 29 Mar 2024 - The ordinary PCR tests for Covid-19 cannot differentiate between variants.
- 29 Mar 2024 - Exercise should have a multi-pronged approach with involvement of NTSA and other stakeholders like Kenya Red Cross.