Mwangaza aligombea kiti cha ugavana kama mgombea huru

  • | Citizen TV
    5,786 views

    Uchaguzi wa Agosti 9 ulikumbwa na kitendawili kikubwa cha vyama vya kisiasa huku migongano ya wagombea na ubabe wa vyama ukiwa kama ada. Lakini katika kaunti ya Meru, kukosa kwake nafasi ya kupepeusha bendera ya chama cha UDA kwenye uchaguzi kulimpa fursa ya kuwabwaga mibabe wa siasa na kuibuka mshindi. Kawira Mwangaza aliruka viunzi na kutwaa uongozi wa kaunti, bila kuzingatia yaliyomkabili.