Mwangaza kampuni ya utengenezaji kalamu ya BIC inanuia kusaidia kundi za wanawake jijini Nairobi

  • | KBC Video
    8 views

    Uwezeshaji wa wanawake ni muhimu kwa ustawi wa taifa. Mipango ambayo inawawezesha wanawake katika viwango vya kitaifa na vile vya mashinani inaendelea kupewa kipaumbele na serikali pamoja na sekta ya kibinafsi. Kupitia mpango kwa jina Mama ni Mwangaza kampuni ya utengenezaji kalamu ya BIC inanuia kusaidia kundi za wanawake jijini Nairobi kwa kuwapa utaalam wa kusimamia vyema miradi yao ya kijamii.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #BIC #womenempowerment