Mwangila ashinda Ksh.1M za Shabiki Supa Jackpot Bonus

  • | Citizen TV
    353 views

    Jimmy Mwangila kutoka eneo la Tezo Kaunti ya Kilifi, ameibuka mshindi wa shilingi milioni moja wiki hii katika mchezo wa Shabiki Supa Jackpot bonus.