Mwaniaji wa wadhifa wa uenyekiti KBF,Cynthia Mumbo asema lengo lake kuu ni kukuza mchezo huo

  • | KBC Video
    Mwaniaji wa wadhifa wa uenyekiti katika shirikisho la mpira wa kikapu humu nchini; KBF Cynthia Mumbo amesema kuwa lengo lake kuu litakuwa kukuza na kueneza mchezo kutoka Mashinani iwapo atateuliwa kuwa rais wa shirikisho hilo. Mumbo atakuwa akinuia kumshinda mwenyekiti wa sasa Paul Otula ambaye amehudumu kwa kipindi cha miaka 13. Uchaguzi huo umeratibiwa kuandaliwa Jumamosi hii ugani Nyayo Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #KBCchannel1 #KBCNewsHour #KBClive